Husikeni na mada tajwa hapo juu,
Mimi First Born 79 nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa wala kulazimishwa na mtu yeyote nimeamua kuumia jina langu la ALVIN A. badala ya ile ID ya mwanzo...
Nipo humu tangu Machi mwaka huu lakini kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha nikatoweka But now nimerudi naomba nijitambulishe kama Wáng 255.
One love wadau wangu
Habar wana jf
Mimi kijana mwenye kiu ya kutaka kujua lugha ya kigen inayo trend dunian ( Kiingereza).
Kama headline inavosema naomba kujua RAS SIMBA kweli anajua kwa wale waliopita kwake na je...
baada ya kuhangaika mnoo hatimaye nimejiunga na jamii forums sasa nitaweza kuwasiliana kwa karibu na baadhi ya wanajukwaa niliopata kuvutiwa na thread zao kama mshana jr,gudume,gentamyn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.