Jf-expect member

Walt white

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
255
665
Wakuu naomba nieleweshwe inakuaje kuaje mpaka mtu anakuwa Jf-expect member, yan stage anazopitia na naomba nieleweshwe vyeo vyote vya members humu kwa mtiririko sahihi,
Shukran
 
asa we vyeo vya JF vitakusaidia nini maishani mwako ndugu yangu?
 
Wakuu naomba nieleweshwe inakuaje kuaje mpaka mtu anakuwa Jf-expect member, yan stage anazopitia na naomba nieleweshwe vyeo vyote vya members humu kwa mtiririko sahihi,
Shukran
Changia kwenye nyuzi mbalimbali. Utakuwa JF expert member soon. Zipo level hadi silver member, platinum member n.k
 
Ukijiunga unakuwa Member, baada ya posts kadhaa unapanda cheo kuwa Senior Member, kama wewe hapo bwana nipe yote.

Kuna idadi ya posts ukifikia ndo unaitwa JF Expert Member, hiki ndiyo cheo cha mwisho kwa vyeo vinavyotolewa bure. Sikumbuki idadi kamili ya posts.

Vingine kama Premium, Gold, Platinum nk ni vya kununua kwa pesa.
 
inaanza New member then Member, senior member and Expert member
 
Back
Top Bottom