Hatimaye nimewasili rasmi

John Nash Jr

Member
Sep 13, 2018
54
125
Asalaam wakuu.

Nimekuwa mfuatiliaji wa mda mrefu kidogo kwenye majukwaa mbalimbali yaliyomo humu jamvini.

Nimefurahishwa sana na jinsi watu wanavyo wasilisha mada mbalimbali na uwezo wao mkubwa wa kujenga hoja, bila kusahau kuangazia wajuvi wa kupinga hoja kwa kuwasilisha nondo kadha wa kadha.

Naombeni ushirikiano wenu wakuu hasa kwenye jukwaa la Jamii intelligence. Maana mimi ni mtafiti na nipo tayari kuwasilisha tafiti zangu mbalimbali ili zijadiliwe, kukosolewa na kuboreshwa.

Asalaam
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom