Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo.
0 Reactions
6 Replies
926 Views
Ntashukuru nikiungwa kwa Hilo group
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Nawaslimieni member wote wa JF mana nikitambo sijaingia humu toka nitapeliwe kasimu kangu nilikokapata kwa jasho na damu. Sasa naona Mungu kanikumbuka nimezawadiwa kasimu kengine hivyo nipokeeni...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamvi nmerudi kwenye jamvi kwa ajili ya kupata mambo moto moto..
0 Reactions
8 Replies
954 Views
Hodihodi jamani, mnipokee mgeni
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mie mgeni kabisa
0 Reactions
4 Replies
661 Views
Naitwa Dulla Same kutoka Mtwara ila sometimes naishigi Dar es salaam My hobby is to be a model So naomben support yenu Facebook : Dulla Same WhatsApp, call or sms +255717675101 Instagram...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Mm ni #member mpya wa jamii forum
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Naitwa festo napatikana dodoma ni mgeni hum JF naomba mnipokee nawanasalimu member's wote asanteni
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Mimi naitafuta familia ya mwalimu wangu aliyekua akiitwa Peter mbeu magesa alifariki mwaka 2008 akiwa ni mwalimu shule moja huku babati manyara ,na kwenda kuzikwa kwao Musoma vijijini. Na baada ya...
2 Reactions
5 Replies
930 Views
Naitwa PaAmandu natokea Nyankongochoro Geita, Kwasasa nipo Dsm, ni mgeni humu nipokeeni.... Pia kama kuna wadau wa Sengerema ni vema tukafahamiana... Ahsante
0 Reactions
3 Replies
740 Views
Habari wana JF ?
0 Reactions
3 Replies
642 Views
Hellow naitwa Hussein Msoleka all the way from Dar Es Salaam I'm a university scholar holding BAED in history and Swahili language also I'm a footballer though kama kuna team around Ukonga Banana...
1 Reactions
7 Replies
797 Views
Naitwa Madam Lucky, nipo Karagwe ni muimbaji wa gospal, youtube: Madam Lucky, instagram: Madam Lucky, facebook: Luck MamaAtukuzwe, whatsap 0769001974/0784297973. Naomba support yako mpendwa na...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
gogopesa
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Hamjamboni, mgeni humu..Mamakelulu
1 Reactions
6 Replies
654 Views
Hodi
1 Reactions
4 Replies
739 Views
Hodiiiiiiiiii mgeni humu jamn
2 Reactions
13 Replies
977 Views
Mimi ni mwanachama mpya nomejiunga nanyi leo, naomba tuungane ktk ujenzi wa taifa letu
0 Reactions
4 Replies
824 Views
Back
Top Bottom