Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu wenyeji, Nimeamua kujiunga rasmi baada ya kuifuatilia JF kwa miaka kadhaa kama guest. Noamba kukaribishwa ndani. Ahsanteni.
2 Reactions
4 Replies
802 Views
Hello guys, I am a Black American working in developing countries in West Africa. I registered simply because of the link below and after registering i found i no longer had access. Please what...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nahitaji mwongozo wenu, jukwaa gani nielekee moja kwa moja?
1 Reactions
16 Replies
1K Views
hii itakuwa ID ya 6 baada ya 5 zote kupigwa ban, ID zote nilizopigwa ban kosa ilikua moja tu,MATUSI AU KUTUKANA ##kiukwel huwa siwez kuvumilia mtu anipe shit au anitukane af nimwache aendelee...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodihodi wana jamiiforums. Nimekuwa msomaji mzuri wa hapa kwa takribani kama miaka miwili nwishoo nimeamua kuwa mwanachama na mimi. Mnikaribishe kama hamtojari
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hellow guys
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari. Mimi ni moja ya memberz wapya katika familia ya jamii forum,ninafuraha kujiunga na jamii forum kwani ilikuwa ni moja ya ndoto zangu kujiunga na kushare idea,siku zote nilikuwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Helloo!!
0 Reactions
6 Replies
932 Views
Habari zenu mimi ni mgeni humu JF nitafurahi kama mgenijuza, kanuni ama sheria za tovuti hii kuuliza sio ujinga. Naomba maelekezo tafadhali hata ukinitajia sheria moja tu itafaa, nitashukuru.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu mandugu. Mnamo tar 4 December, nimeamua namimi kujiunga nanyi magreat thinkers, nijionee namna great thinkers wanavyojadili mada zao kiundani zaidi. Tujumuike pamoja na mnikaribishe...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano wenu. Asanteni sana.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Member mpya,hodi wanajamvi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
882 Views
Habari wana JF, Naitwa Priscallia natokea Dar. Nimeamua kujiunga na JamiiForums ili kupata maarifa na kuongeza wigo wa marafiki. Naombeni mnipokee
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello! I am new member of this site and I am very interested.
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Baada ya mda mrefu kuperuzi JF kama mgeni nimeamua kuingia rasmi ndani baada ya kuona kuna mengi inawezekana nayakosa. Naomba mnipokee na kunishauri tahadhari za kuchukua nikiwa humu.
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Hello JF. Naitwa Elisia ni new member hapa, nashugulika na maswala ya MC(Master of Ceremonies), mwenye event yoyote iwe harusi, send off, bridal shower, bachelorette parties, semina kindly PM, am...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wana JF Naomba mnikaribishe ,ni mgeni hapa
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Hello members, Good evening! Nimekuja hapa nikiwa na furaha tele. Kwa muda sana nimekuwa mfuatiliaji katika jukwaa hili tangu 2016... Kutokana na michango mbali mbali ya jukwaa hili nimeonelea...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi Mimi Zebedayo Musibha. Ni mgeni kwenye jukwaa hili. Kutoka kisiwa cha GOZIBA katikati ya ziwa Victoria Nafurahi kuwa moja ya familia ya JF
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom