Habari zenu humu ndani, baada ya muda mrefu sana kuangaika na namna ya kuweza kujiunga na Jamii Forums hatimae leo nimeweza. Hii ilikuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana na Mimi nije siku moja...
Hellow guys, baada ya kuwa msomaji nisiye rasmi sasa nimeamua kujiunga nami Jf ,mnipokee ,na mniongoze vyema nawapenda ..
Jinsia yangu ni KE"
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakongwe
Mimi ni mgeni humu naomba mnikaribishe, ni muda mrefu nimekuwa nikiingia na kusoma mada tofauti tofauti lakini leo nimefanikiwa kujiunga rasmi, naombeni ushirikiano wenu wakuu...
Mambo vipi masela na wazee wa kale? Mimi sio mgeni humu ndani. Nimekuwa nafuatiliaga sana nyuzi za watu mbalimbali, leo nimekuja kuwapa chagamoto na elimu juu ya mambo balibali ya maisha.
Kifupi...