Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
jamani naomba niwatake radhi kwanza kabla ya yote coz nimeshakuwa humu ndani kama cku ya 5 leö na ckujua kama kuna chumba cha utambulisho pil nhngependa mnikarbrishe kwa mikono miwili na makof ma3...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello! I am new here..
1 Reactions
5 Replies
654 Views
wats up pp rytl here
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Asalaam aleikhum kwa mpigo. Naomba mnikaribishe na majina ya mahoteli au mikahawa ipatikanapo supu ya pweza au pweza wa kuchoma hapa dar es salaam, hasa wilaya ya kinondoni. Ahsanteni sana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hellow
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii. Weita pls lete moja bariiiidi...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari mabibi na mabwana. Hodi tena humu jukwaani kwa maana mimi sio mgeni humu kiasi hicho. Nimekuja kwa kusudi maalum, nalo ni habari njema hasa kwa ndoa zetu na wanandoa. Hivyo popote...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana ! Nimejiunga rasmi na jamvi hili baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu....
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimefurahi kuwa mmoja wapo wa walioko kwenye hii jamii ya mtandaoni. Asanteni. Napenda siasa uchumi na mapenzi. Shingo
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naitwa Hamid na naomba kujumuishwa katika jamii. Nategemea nitasaidi kuweka sawa mambo mengi hasa yale ya upotoshaji. Salaam Mwanakijiji lakini ukipokea chochote unaburuzwa. Salam Mwiba lakini...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Naombeni mnipe utaratibu huku. Ni mgeni tokea Twitter X. Nmezoea spana za kule huku vip.
3 Reactions
8 Replies
452 Views
New member hapa, naona kuna member wengine wana blue tik hivi ndio kusema? Like MshanaJR
3 Reactions
18 Replies
747 Views
Salaam ,mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30, ni member mpya naomba mnipokee Wana JF.
2 Reactions
4 Replies
597 Views
Habari wanajamii mimi ni mgeni humu , ni kijana 30 male naomba mnipokee
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Salaam mim mgeni humu naombeni mnikaribishe
1 Reactions
8 Replies
501 Views
  • Closed
Nisaidieni maana ya neno PM sielewi kwa atakae nisaidia nitamshkuru. PM ni kifupi cha Private Message, ambayo inakuwezesha kuwasiliana na mwanachama mmoja au zaidi ya mmoja.
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Mi ndiyo nimeingia kivingine humu,kama kawaida Upendo na Heshima kwa kila mtu,tuko pamoja Wakuu.
1 Reactions
3 Replies
386 Views
Habari zenu wana Jamii Forums, kwa ID ninaitwa nguvu ya buku, nina umri wa miaka 30 na ninatokea Iringa. Moja ya vitu vilivyoniongoza kujiunga humu ni kupata elimu, kubadilishana mawazo na watu...
1 Reactions
3 Replies
390 Views
Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia. Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo? Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…