Hello my fellow Members and Mods,
I amm here to share my experiences, to air my opinions and join the family of Great Thinkers.
I'm looking forward to gain so much from u all!
Please put...
Jamani nimefika japo bado majonzi hayajaniisha ya kupotelewa na mpendwa wetu kanda mbilimbili Mwesiga Salvatory Baruti. RIP our best friend, we are missing you! Tushirikiane, tuikomboe nchi yetu...
Hellow,its Uncle Jei Jei a new member in this community of great thinkers joining to discuss various issues of the world. Aksanten sana wana JF,Tutoe arguments za ukweli ili tujengane ki...
Hie everyone! I have been following you guys for years now, so am officially joining those who are serious about liberating my beloved country Tanzania. Let's keep on working:spy:
Wana JF polen kwa harakati zenu za kuiomboa Tz!
Nimekuwa msomaji wa thread zenu yapata mwaka sasa bila kuchangia chochote isipokuwa kutumia elim niipatayo kuelimisha jamii isiyoweza kufika...
Kwa heshima taadhima natumia nafasi kujitambulisha hapa na kuomba kuwa mmoja wenu katika kuchangia mada mbalimbali, nimekua nikipitia mtandao huu mara kwa mara na nimekua nikijifunza mengi kutoka...
Nachukizwa sana na kitendo cha kufungiwa na JF kunifungia kwa muda kupost new topic. Naona kama serikali ya Chi Chi emu isivyo na huruma na wanachi wake. Siku mkinifungia tena. Nitawakimbia wana...
Wanajamii,
Nafurahi kuufahamu mtandao wenu, nimependa sana kujiunga nanyi.
Naamini nitajifunza mengi toka kwenu, na nyinyi mtajifunza toka kwangu.
Naomba mnikaribishe.
The Black Moses.