Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimekua nikifatilia JF kwa muda sana lakini hatimae nimeamua kujiunga rasmi na ustaarabu mimi mikiki siiwezi
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Hello I'm Doctor love coach ..Here to guide you through the journey of love relationship and self discovery and discover the love you have been searching for... Dr.Love Coach
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Salamu kwenu JF platinum members, JF expert members, JF senior members, JF members and JF new members. Paulo Yamal muhas naingia hapa katika ulimwengu wa JamiiForums Nasubiri ukaribisho wenu wakuu.
10 Reactions
115 Replies
6K Views
Hakuna jambo lisilo na mwanzo wala mwisho, pia kutangulia kuondoka si kuwahi kufika, japo mgeni humu ila natumai tutaenda sambamba, natagemea ukaribisho mwema.
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Nahitaji rafiki kwaajili ya kuongea kiingereza tu , kupractice english speaking, mimi nafanya kazi za uhandisi wa electronics , im man karibu PM
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu poleni na hongereni pia. Nimekuwa nikifatilia jf Kwa muda mrefu na hatimae nimeona na Mimi nijiunge. Mimi napatikana dsm, na najishughulisha na ufundi wa Umeme, tv...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Karibu
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Habarini zenu wakubwa! Sina mda mrefu tangu nijiunge jamii forums, sasa kabla sijaanza kishusha NONDO zangu, nimeona bwana ni vyema na ni ustaarabu kwanza kusalimia waenyeji ndio nianze sasa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hakika mwenendo wa taifa letu tangu tupate uhuru miaka 50 iliyopita haileweki kwa kila kukicha. Maisha yamezidi kuwa duni na magumu. Kuwa na mfumo wa Kisiasa wa vyama vingi kigeresha. Kwamfano...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba karibishwa nipate pumzika.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Matumaini yangu wote mpo katika afya njema. Nafurahi kujiunga na JF na nadhani kuna faida ya kuelimika ingawa sipati wakati wa kutosha kutembelea JF kwa sababu ya kuwa bize sana, lakini nitajaribu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar wazeenimekua naifatilia JF kupitia Google kwa muda mref. Saiv nimeona nifungue account moja kwa moja. Japo naona siwez kucomment Wala Nini naimani @moderators au Admins wameniweka kwenye...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
mabwana na mabibi. tumezoea mabibi na mabwana muda mrefu. tumewapa hawa mabibi nafasi ya kuwa mafirst lakini hawataki so bora mabwana waendelee na ukwanza wao. au sioooo!!!!
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Hello members of JF, i am just telling you to be aware of Fredd81!!!! I hope i'll enjoy this forum! Please Give me full support!!!
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakubwa shikamooni!! wadogo marahaba hamjambo!! na wale wenzangu habarini za masiku. Napenda kujitambulisha kwenu katika blog hii. Nawashukuru kwa michango yenu ambayo mingi ni ya kuielimisha jamii.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Tanzania na kazi iendelee Am new JF but nilikua wapi kipindi....... Chote am very enjoy full
4 Reactions
7 Replies
799 Views
Hellow all members of JF, m happy to join JF lkn nimesumbuka kweli mpk leo kuweza ku log in. Nawaomba mnipokee jamani. Karibuni Zeeeennnjiiiii......
8 Reactions
81 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums mimi mgeni humu nawasalimia,wazima !?
2 Reactions
5 Replies
493 Views
Baada ya muda mrefu JamiiForums kuwa chanzo changu muhimu sana cha kupata habari muhimu na tofauti tofauti na kwa wakati muafaka hatimae leo nimeamua kujiunga rasmi hapa jamvini. Wakuu heshima...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Watz wenzangu Makongoro Mahanga kashindaje kwenye kesi ya ubunge?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…