Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
am Yuri G! A new member of jf! Hope i ll hv gud tym and much to learn!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nachukua nafasi hii kuwasalimia wana JF wote, mimi ni member mpya naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana JF kwa muda sasa nimekuwa nikiingia kama guest humu ndani na kujifunza mengi,nimeamua kubisha hodi,ili niweze kujifunza zaidi. Naomba kuwasilisha!
0 Reactions
6 Replies
890 Views
Hi every body out there, am a new member of JF, where Great Thinkers make their home. plz accept me.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
hodiiiiiiiii wakuu mi mgeni humu.Jembe lenu naomba kuingia kilingeni.Nimewakubali wakuu.
0 Reactions
8 Replies
946 Views
Hellow wanajf hodi hodiii,ni mimi mwanajf mpya....Nawaponezeni kwa jinsi ambavyo mnatoa mawazo yenu juu ya watu wenye shida mbalimbali, kutoa taarifa mbalimbali n.k. Nathubutu kusema nimejifunza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello.....Black is back
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Na mimi nimesikia habari za JF, nikaona nijiunge mwaya. Sijui nitapaweza?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Salamu nyote waungwana! nabisha hodi jamvini nami niwe mmoja wenu. sina shaka ntapokelewa kwa mikono miwili. Asanteni!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukiingia kwa watu ni vyema kupiga hodi, na kusalimia, jamani Habari zenu. mi ndo nimeingia humu..
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba kutanguliza shukrani kualikwa JF na kupatiwa nafasi. naomba ushirikiano wenu
1 Reactions
8 Replies
984 Views
Nimevutiwa sana na kujiunga humu, tupo pamoja wakuu.
0 Reactions
10 Replies
995 Views
naomba ukaribisho katika jf
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nimefurahi sana kujiunga na the home of great thinkers.,naomba ushirikiano wenu wanajf
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hi! Bro & sist in Jf
0 Reactions
5 Replies
947 Views
Habari ndugu zangu...! K'jana wenu nimejiunga nanyi great thinkers
0 Reactions
4 Replies
778 Views
i am gald to be amoug you peoples here ahahahhahahahahhahhaahha?????????????????
0 Reactions
7 Replies
976 Views
Mi mgeni humu,nahic niliingia bila kupiga hodi.nimeona niwajuze wakuu naingia jembe lenu!
0 Reactions
8 Replies
902 Views
Mbuyu ulianza kama tembele,na maendeleo huanza taratibu lakini juhudi na mawazo ya kila mmoja wetu ndo nguzo muhimu.wazalendo ndo wanaoleta maendeleo na wazalendo ndo sisi vijana kwa wazee.habari...
0 Reactions
7 Replies
782 Views
Habari zenyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…