Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello, O.K?
0 Reactions
6 Replies
966 Views
habari yenu wote, natumaini mnawakati mzuri hapa JF...I hope i'll feel the same.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu za kwetu.mpo wanaJamii? Mi ni mtu 'mpya' kwa uwanja huu.naomba tushirikiane kwani nimeona mna vitu nzuri.nimevutwa nazo,naamini mtapata ma busara yangu pia.ASANTE Najua mpo ange nami.
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Thanks all
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi hodiiiiiiiiii wenyeeeeeeeejiiii mm ni mgeni wenu.
0 Reactions
7 Replies
932 Views
kwema waungwana mi mgeni naomba mnikaribishe kwenye jamvi tutafakuri pamoja
0 Reactions
7 Replies
916 Views
Hellow bandugu may i come in?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mm mgeni wenu ndookwanzaaa naingia jamvini.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuku mgeni hakosi kamba mguuni........!!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Happy new year
0 Reactions
5 Replies
955 Views
hod
Hodi kwa nyumba hii wanaJF
0 Reactions
8 Replies
971 Views
AM NEW HERE.........................YAANI MIMI NI MGENI .........................WAZUNGU WANASEMA NEWCOMER
0 Reactions
18 Replies
2K Views
habari members. Mi ni mgeni wenu. Naomba ushirikiano wenu tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nawasalimu nyote ndani ya ukumbi huu wa jf. Ni mara yangu ya kwanza najiunga na mtandao huu. Ni matumaini tutafahamiana na kuelimishana zaidi kupitia mijadala mbalimbali. Tafadhali mnipokee
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hodi wenyeji!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wenyewe mpo?mgeni nimewasili.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
hi
hello! Mambo vp wadau wa JF?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nilifikiri nina kila kitu muhimu kwa maisha yangu mpaka nilipochungulia kurasa za Jamii Forum. Kumbe nilikuwa naishi na njaa kali ya maarifa ilhali JF imejaa mapochopocho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamii, kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia dondoo mbalimbali kuhusu hii blog site, nimevutiwa kwa kuwepo kwa makala tofauti za kijamii hususani afya na mahusiano, hivyo bas nikiwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, hongereni sana kwa kulijenga taifa letu hili la mafisadi kwa mawazo yenu mazuri na kutufunza mambo mengi. nimekuwa nikitumia jamvi hili kupata habari kwa kina, hivyo na mm...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom