Baada ya kupigwa suspension na mods kwa kuisema Chadema.
Nimerudi tena hapa jukwaani
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.
Where we dare to talk openly-this the best joke
OTIS
Nawaombeni mnikaribishe jamiiforum, ingawa mtandao wenu umeshindwa kuikomboa nch yetu,dunia ya leo mitandao ya leo ndo mkombozi wa nch sio wanasiasa mfano ni moroko na misri, wawawawawawawa naja...
:lol: Daaaaaaah hapafai huku nilipokua thank you moderator for setting me freeeeeeeeee..................am freeeeeeeeeee now.......! Namtafuta kufulila sasa hivi manake nasikia alikua na hali...
Ndugu WanaJF,
Nafurahi kuungana na nyinyi kwa mara ya kwanza! Michango mingi nimeisoma lakini sikuweza kuchangia. Sasa nitapata fursa ya kuchangia.Habari zenu popopte mlipo! Hapa Toronto poa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.