Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii javiniiiiiiiiiiiiiiii

Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii javiniiiiiiiiiiiiiiii

TASLIMU

Senior Member
Joined
May 6, 2011
Posts
144
Reaction score
21
Nimekuja javin nimesoma sana hoja nyingi,tokea mwenz wa kwanza2011,nawapongeza wadau sana,jav la siasa,mahusiano,ajira,elimu,lugha,mastaa,nk safi sana
 
karibu sana tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu karibu tuijenge tz yetu
 
Nimekuja javin nimesoma sana hoja nyingi,tokea mwenz wa kwanza2011,nawapongeza wadau sana,jav la siasa,mahusiano,ajira,elimu,lugha,mastaa,nk safi sana

mkuu kwenye bold hapo lugha za sms haziruhusiwi jamvini sawa
karibu sana..:thinking:
 
Karibu JF natumaini Ulimakafu na Chatu Dume wamekupa juisi
 
Karibu sana mkuu kabla hauja ingia lasmi kanunue generetor au kama una2mia phone nunua betri za kutosha.Kisha zichaji zote
 
Nashukuru wote mlionipokea,nami nimeanza kutoa mada mbalimbali ktk siasa,mfano ilikua fungate ya uhuru
 
Back
Top Bottom