Kwa heshima na taadhima naomba kuungana nayi waungwana wajenga nchi. Namini kuwepo kwangu hapa kutaninufaisha katika maisha yangu binafsi lakini pia kitaaluma.
Nimekuwepo nikichungulia kama mgeni...
Hello! Naanza kwa salaam za mwaka mpya kwa wtz wote. Pili, ukombozi wawatz dhidi ya mkolon mweusi ni sasa, watakaoleta ukomboz huo ni cc WANA CHADEMA, MAKAMANDA magamba yameendelea kutunyonya sasa...