2012 ni mwaka wamafanikio kwa chadema

2012 ni mwaka wamafanikio kwa chadema

NGONYA NM

Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
39
Reaction score
15
Hello! Naanza kwa salaam za mwaka mpya kwa wtz wote. Pili, ukombozi wawatz dhidi ya mkolon mweusi ni sasa, watakaoleta ukomboz huo ni cc WANA CHADEMA, MAKAMANDA magamba yameendelea kutunyonya sasa ni muda we2 (CHADEMA) wakuonyesha mwelekeo wa nchi yetu. Nchi yenye madini mbuga zawanyama mlima mrefu kuliko yote Afrika na mabonde yenye rutuba Eti! Wakaao kwenye hyo nchi ni maskini! Hii ni aibu kubwa. INATOSHA LET US SHOW THEM ITS TIME FOR TANZANIAN TO OWN THEIR WEALTH
 
Back
Top Bottom