:frusty: Hodi hodi, ng'ong'o, ng'ong'o,.......!
Asanteni sana kwa kunipokea :thumb:
Ninaitwa Byeyombo. Ni mkulima wa vanilla kutoka Bukoba Vijijini. Ninaongoza ushirika unaoitwa Maruk Vanilla...
Naomba kutumia fursa hii kuwasalimu Wanajamii forum.
Msiba wa ndugu yetu, jembe letu, hakika umeacha pengo kubwa sana na utendaji wake hodali utakubukwa daima. Kwa kuwa Mungu amempumzisha, nina...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa hii forum,sasa nimeamua kuwa active member ili nami nitoe dukuduku zangu za kumoyo.
Naomba kukaribishwa tafadhari.
Nami nimeingia katika jamii hii ili kuweza kupata taarifa na kujifunza vitu vingi hasa kutokana na uwezo katika nyanja mbalimbali miongoni mwa wana jamii.