Hooooodiiiiiiiiiiiiii

Nabisha hodi ndani ya JF!
Kazi unayotakiwa kufanya humu ni kuhakikisha unaipiga vita serikali hii ya ccm inayoendekeza ufisadi na rushwa kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Tafuta mpiga kura wa 2015 ili tuindoe ccm madarakani. CCM wanadharau sana na wana kiburi na jeuri, hawajali maoni ya watanzania maskini. Kura ndiyo njia peke ya kuiondoa ccm. Tunatakiwa kutoa elimu kwa raia vijijini ili wapige kura vizuri mwaka 2012. Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom