Nabisha hodi toka Maruku naleta Vanilla JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nabisha hodi toka Maruku naleta Vanilla JF

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Maruku Vanilla, Jun 14, 2010.

 1. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  :frusty: Hodi hodi, ng'ong'o, ng'ong'o,.......!

  Asanteni sana kwa kunipokea :thumb:

  Ninaitwa Byeyombo. Ni mkulima wa vanilla kutoka Bukoba Vijijini. Ninaongoza ushirika unaoitwa Maruk Vanilla Farming and Processing. Ninafurahi sana kujiunga na jukwaa la Jamii.

  Malengo na matarajio yangu ni kushiriki kikamilifu katika mijadala na kunufaika na jinsi ya kuboresha kilimo cha mazao mbadala ya biashara na kuinua kipato cha mkulima.

  Asanteni tena na tena kwa kunipokea.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Karibu sana mzee wa Maruku. Naona umeingia kwa mbwembe kabisa za ki-BK. Jisikie nyumbani. Mi mzee ninakupokea
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona mbembwe saaana umejikaribisha kabla ya kukaribishwa

  Hila karibu hata kama umejikaribisha tuletee Vanilla wanaJF
   
 4. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #4
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Basi tu mmenihukumu kwa mtindo wa kurejea historia na mazoea. Kwa sasa hatuko hivyo tena mnavyotufikiria. Lakini, nawashukuru sana kwa kunikaribisha. Binafsi nilifikiri karibu ya kwanza niliyopata ni ile ya ujumbe wa kukubaliwa niliotumiwa na admin, loh! kumbe nilikuwa sijakaribishwa!
   
 5. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #5
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Asante
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah karibu sana naona umekuja kwa mbwembwe balaa.
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  umekuja kiuchaguzi au ndio hivyo kukaribia janvini, hya mama/baba karibu sana
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  shem, katoka Bukoba huyo, si unajua wa huko huwa wana heshima zao....karibu sana Mr Vanilla
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
  MUGAMBIRE NA STUPID MBELE YA MY WIFEY
   
 10. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Unapiga hodi au unagonga kichwa ukutani? karibu mkuu
   
 11. T

  Tajiri Mtoto Senior Member

  #11
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 131
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60

  Labda utatuambia ulivyonufaika na "Kilimo Kwanza" Karibu jukwaani...
   
 12. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Karibu mkulima mwenye mbwembwe
   
 13. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280


  Waitu banyegere!
   
 14. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #14
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Kaka Fidel80 na Wote,
  Nawaombeni msamaha kama kweli nilichofanya imegeuka kuwa mbwembwe, mikiki, na hisia kama hizo.
  Hata kama wengine hufanya, Mimi hupenda kuwa na hadhi ya ngazi ya chini kabisa. Jambo moja sijaelewa; mmenihukumu kuwa na mbwembwe kwa ICONs/Smiley nilizotumia au maandishi?! Kama ni ICONs mbona Fidels80 ana animations kali kuliko na zinaonekana kuwa za kudumu katika kila post? Kosa langu/mbwembwe zangu zi wapi?
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nilipita huko miaka mingi hivi kile chuo cha Kilimo MATI Maruku bado kipo?
   
 16. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #16
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Tajiri Mtoto,
  Wewe waweza kuwa unaelewa zaidi na hata umenufaika kuliko mkulima yoyote yule hapa Tanzania toka "Kilimo Kwanza". Na labda hata utajiri wako katika umri huo (utoto) umetoka huko.
  Binafsi na wakulima wanaonizunguka na hata DALDO wa Wilaya yangu hatujui na wala hatujaona kama huo wimbo wa majukwaani, mahoterini, redioni, na kwenye MaTV uitwao "Kilimo Kwanza" unahusiana na sisi
   
 17. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #17
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Kipo pale Makonge. Baadhi ya Majengo ya iliyokuwa MATI yamebadilishwa matumizi kuwa Sekondari na yaliyobaki upande wa nga'ambo ya barabara kilianzishwa Maruku Agriculture Research Institute (MARI). Ila impact ya uwepo wa chuo hiki haipo kabisa ukilinganisha na ukulima na uzalishaji, unaoendelea katika Tarafa yetu ya Maruku
   
 18. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #18
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Kasinge Waitu
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamani palikuwa pazuri sana miaka hiyo! Hivi Ranch nayo ama iliishauzwa?
   
 20. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #20
  Jun 14, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Asante mwenyeji HAKIMU AK-47
   
Loading...