Pamoja sana wakuu, nimekuja rasmi kuwashika wanasiasa wabovu wenye utashi na matumbo yao. Baadaye ya leo nitaweka bango juu ya kichwa cha Hawa Nghumbi katika jukwaa la siasa.
Salamu kwako Hawa...
Mabibi na mabwana hodi hodi naingia, natokea mji mkongwe, unguja, mwakilishi wangu ni Jussa, mfikapo unguja karibuni forodhani tupate urojo na juisi ya muya
Naahidi kuwa mwanachama mwema wa J.F
Wale wote niliowakosea tusameheane,
tunajenga nyumba moja hivyo tusigombane kwa sababu ya kugombea fito.
-
Regards
[*****]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.