Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nasikia Madam B, Paloma, Kipaji Halisi, Mentor, Bujibuji, KakaKiiza tangu tukutane pale Leo tupo hapa Pub mlikuwa mnamsumbua Mzee Mtambuzi kutaka kujua ID yangu. Kwa kweli mimi nilikuwa ni msomaji...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari! Nikaribisheni mgeni wenu JF
0 Reactions
14 Replies
1K Views
jamani am new member in JF unatumaje msg??
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wadau nikaribisheni humu ndani ili tuweze kushare mawazo yetu
0 Reactions
6 Replies
711 Views
Hodiiiii
0 Reactions
6 Replies
793 Views
Hello jf members ni mwanagroup mpya katika hii group naombeni mnipokee ili tukuzane kimawazo kwa mambo tofautitofauti
0 Reactions
5 Replies
820 Views
Habarini waheshimiwa!! just salaam tu coz mimi ni mgeni humu kwenye mjumba!!
0 Reactions
5 Replies
922 Views
Naomba mnipokee wadau!
0 Reactions
6 Replies
809 Views
wadau wa jf naomba mnipokee nimejiunga kea ajili ya kushea different ideas na kuwa updated na mambo mengi Naomba kuwasilisha wana jamvi
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Hello JF members, this is a new member H20 recently joined the great thinkers.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mnikaribishe
0 Reactions
4 Replies
863 Views
Dear members, With great honor I am humbly introducing myself as a new member in this site. My name is Dr. Donald A Jitta, and I'm living at a small village called Kibara located in the northern...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Am happy to join Jamii Forum members,its interesting i hope this will be beneficial for me and all other members as well. Peace to all
0 Reactions
5 Replies
723 Views
Ya mungu mengi!atujaaliye wote na kutuongoza,,tupate mawazo mapya na mazur
0 Reactions
7 Replies
820 Views
jamani mie mpya humu ndani nikaribisheni,nifundisheni jinsi yaku co oparate na watu humu,jinsi ya kutumia vema jf na mengneyo mengi
0 Reactions
8 Replies
823 Views
Kwanza nawapa pole kwa mihangaiko ya kutwa ya ujenzi wa taifa letu. Naamini mwisho wa yote ni kujenga taifa lenye ustawi imara kwa manufaa ya wote. Pili naombeni mnipokee kwa furaha ktk jukwaa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimerejea wanajf. Tuiombe Taifa stars ifanye vizuri dhidi Moroco kwenye mchezo wake wa kesho. Mungu ibariki Taifa stars Mungu ibariki Tanzania.
0 Reactions
6 Replies
948 Views
Asalaam Aleykum waungwana. Nawasalimu kwa lugha, dini na itikadi zenu. Mgeni nimeingia naomba miongozo, order, kuhusu utaratibu na mengineyo. Ila tangu mwanzo nieleweke kuwa napenda vitu vyote...
0 Reactions
10 Replies
973 Views
Hi
Naomba kuuliza, Baraza la mitihan(NECTA) limesogeza mbele mda wa usahili kwa RISITAZ? Au wameacha mda ule ule?
0 Reactions
3 Replies
740 Views
Humu ni nyumban kwa ma-great thinker, coz im da 1 imenibid nijiunge na thinkers wenzangu,
0 Reactions
4 Replies
660 Views
Back
Top Bottom