Ni matumain yangu mko poa humu ndani kwa mara ya kwanza in room naomba ushirikiano wenu kwa kufundishana kulekezana yale yenye kumfaa kila kiumbe mwenye ufaham kama binadam na pale atelezapo mmoja...
heshima kwenu wakubwa kwa wadogo! Nimegundua nilikua napoteza mda wangu mwing kudeal na fb while gaining less!! Niko wa jf!! Napenda pia kuwashaur vijana wenzangu wajiunge na jf!!
I am so proud to be a Tanzanian but i feel so sory for those fellow Tanzanians who do not know why they were born in Tanzania.Ask yourself this questions then if you have good answers Feel proud...
CCM na Udini ni mojawapo ya mada ya Wana JF iliyonifurahisha sana. Ni kweli kabisa chanzo cha tatizo ni kile Mchambuzi ameita "obwe la dini ya kiraia" baada ya Serikali ya CCM kuachana na Sera ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.