Holla wakuu,
Nimerudi tena Jamii Furum, since 2017 finally leo ndio na Login naomba ushirikiano wenu, wakuu, by professional ni FUNDI UMEME karibuni pia naomba mnipokee.
Habar ya wakat huu wapendwa mimi ni mwanachama wa jf nilikuwepo muda tangu 2021 lakin sijajitambulisha kwenu...naombeniii mnipokeeee na ni fresh graduate natafuta internship ilii kupata experience...
Nimeingia kwenye mji huu wa kidijitali ila kabla hata siku haijaisha nimeona ni uungwana kuwasalimu kwanza wenyeji.
Nimekuwa ni msomaji wa muda mrefu wa jamiiforums katika majukwaa kadhaa ila...
Wakuu za sahizi,
Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii
Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali
Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35...
Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano
Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano.
Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao...
Wandugu imenilazimu kuingia humu, maana nimekuwa kimya kwa muda mrefu lakini sasa nimeamua. Na imenipasa kufanya hivyo kutakana na hasira ya kukosa umeme. Kwa kuwa kazi za ofisi haziendi wala...