New member

Karibu,njoo kaa hapa nikupe mawili matatu kuhusu mabazazi wa humu,wale wa kimasihara.
 
Habari Member wenzangu,

Naitwa Jesca mm ni mgeni nimefurahi kujiunga JF.
Karibu sana Jesca, heri ya mwaka mpya pia.
Jina la Jesca ni jini ninalolipenda kuliko majina yote ya kike!

Karibu Jf kama ni mgeni kweli, ni mahali pazuri sana ila yanahitajika umakini mkubwa kwa kiasi chake.
 
mkuu hiyo ni id mpya ya popoma wetu kaja tena kivingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom