Dhokwa Member Jan 24, 2024 31 43 Jan 24, 2024 #1 Ndugu zangu. Ninayo furaha kujiunga rasmi kwenye hili jukwaa langu pendwa. Nitashukuru kwa kupokelewa humu ndani.
Ndugu zangu. Ninayo furaha kujiunga rasmi kwenye hili jukwaa langu pendwa. Nitashukuru kwa kupokelewa humu ndani.
Mr kenice JF-Expert Member Mar 15, 2022 2,851 4,472 Jan 24, 2024 #2 Tupo heshima yako kujiunga na wakubwa.
Powell Gonzalez JF-Expert Member Jun 28, 2023 622 1,276 Jan 24, 2024 #3 karibu vipi huko facebook umewaacha wazima?
Morning_star JF-Expert Member Apr 21, 2018 4,160 11,483 Jan 24, 2024 #4 Dhokwa said: Ndugu zangu. Ninayo furaha kujiunga rasmi kwenye hili jukwaa langu pendwa. Nitashukuru kwa kupokelewa humu ndani. Click to expand... Wee mgeni gani wakati unajisema hili ni jukwaa lako pendwa? Umebadili ID
Dhokwa said: Ndugu zangu. Ninayo furaha kujiunga rasmi kwenye hili jukwaa langu pendwa. Nitashukuru kwa kupokelewa humu ndani. Click to expand... Wee mgeni gani wakati unajisema hili ni jukwaa lako pendwa? Umebadili ID
Dhokwa Member Jan 24, 2024 31 43 Jan 24, 2024 Thread starter #5 Morning_star said: Wee mgeni gani wakati unajisema hili ni jukwaa lako pendwa? Umebadili ID Click to expand... Hapana kiongozi sikuwa nimejiunga Ila nilikuwa nasoma tu mambo ya humu. Kwa sasa nimeamua kujiunga rasmi
Morning_star said: Wee mgeni gani wakati unajisema hili ni jukwaa lako pendwa? Umebadili ID Click to expand... Hapana kiongozi sikuwa nimejiunga Ila nilikuwa nasoma tu mambo ya humu. Kwa sasa nimeamua kujiunga rasmi
Dhokwa Member Jan 24, 2024 31 43 Jan 24, 2024 Thread starter #6 The Afro Ghost said: karibu vipi huko facebook umewaacha wazima? Click to expand... Wazima kabisa kiongozi
The Afro Ghost said: karibu vipi huko facebook umewaacha wazima? Click to expand... Wazima kabisa kiongozi
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,053 10,698 Jan 25, 2024 #7 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Kaka yake shetani JF-Expert Member Feb 1, 2023 3,596 8,729 Jan 31, 2024 #10 we sio mgeni sema umehama mtaa wa ID