Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
jamani nami nimekuja hapa kwa wakubwa ,naombeni mnikaribishe
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana wa jf nipokeeni kwa mikono miwili ktk jukwaa hili.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi.kutokana na kuvutiwa na hili jamvi nimeamua kujiunga nanyi katika harakati za kubadilishana mawazo na kupata ushauri kwa changamoto mbalimbali zinazotukabili kama binadamu.tupo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahn wakuu ni baada ya kuperuzi mada mbalimbali zilizom katk jamii forum nikaona bora nami nijiunge na kuwa memba wa huu mtandao ili niweze kupanua ubongo Wang ktk uwelewa wa mambo mbalmbal
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Naombeni mnikaribishe mm mgeni.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf.... Mm ni mgeni humu jf nimejiunga ktk hii jamii ili niwe miongoni mwa washiriki wa jf ktk nyanja tofauti tofauti. NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZOTE KWA MEMBERS WOTE WA JAMII FORUMS.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamii forums kwema humu jamani
0 Reactions
5 Replies
893 Views
Ndugu wakubwa kwa wadogo hodiii humu ndani.Tafadhari nikaribisheni kwa mikono miwili.....kwa wale wa siasa,mimi mrengo wa kati..wale wa music mimi msaaaafi...wa mpira,mimi ni Mbeya city na Man...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hi jf asanteni kwa utibìtisho wenu wa mimi kuwa miongoni mwa waGREAT THINKERS am so HAPPY FOR THAT ushirikiano wenu ni muhìmu
0 Reactions
5 Replies
932 Views
me nina miez humu jf ila cwaelewi kwakwel mana umu jf mna k2 kinaitwa udini sio kitu kzur jmn
0 Reactions
4 Replies
810 Views
Habari watu wangu wa nguvu,naomba kwa wanaofahamu wanisaidie,.iPhone 3G Inamwisho wa ku update??? Natanguliza shukrani,..
0 Reactions
4 Replies
988 Views
New
new mtu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu
0 Reactions
6 Replies
813 Views
Habari?..naomba kukaribishwa humu ndani
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi hodi humu ndani kwa shairi naingi, salamu kwenu wapendwa wakubwa hata wadogo. Nakuomba Maulana bariki waanzilishi, hongera jamii forums kwa elimu burudani. Siku saa zimepita dakika hata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello, ninaishi Norway na nimejifunza kiswahili kwa takribani miezi sita. Niko hapa kuboresha kiswahili changu, na kushiriki katika majadiliano ya kuvutia. Nimefurahi kuwa hapa na ninyi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi naitwa Juli nakaa Msumbiji Maputo naitaji rafiki!! Kissss nyinyi wote mliopo hapa!!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
helow wana jamvi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani me mgeni humu,ingawa hula nachungulia Mara moja2 leo nakaribia rasmi,hodi wenyeji.....
0 Reactions
23 Replies
2K Views
jf mamboz! mnipokee jaman me mgen huku
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom