Mimi ni kijana mdogo ktk harakati za maisha hapa na pale huwa nafikiria kufanya kitu tofauti ktk maisha angu lakin sipati mwanga ....nsaidien wana jf tafadhal.
Habari za asubuhi wanajf,mm ni mpenzi sana wa jf ila siku zote nilikuwa msomaji tuu wa post za wengine.Naomba kukaribishwa rasmi ili niendelee kuifurahia na kujifunza mengi kutoka kwenu wapendwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.