Habari wanajamvi, naomba kupokelewa humu jamvini kwani mimi ni mgeni. Naahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wadau wote. Nawatakia shughuli njema za ujenzi wa Taifa.
Mimi ni mgeni katika jukwaa hili huru la jamii forum, nawaheshimu sana wenye uzoefu na jukwaa hili, nikimaanisha niliowakuta jukwaa hili,limekua ni jukwaa tegemezi sanaaa kwangu hasa kwa kujifunza...
Nashukuru nimepata nafasi hii adhimu kuwa mmoja kati ya member ya watu wanaofikiri kama kama hakuna box vile na sio out of the box.Salute kwa wadau wote ambao bado wanafanya page hii kuwa so best...
Naomba mnikaribishe humu ndani,nimekuwa nafuatilia mijadala ya humu ndani na mm nimeamua kujiunga...naamini nitaendelea kufaidika kama matumaini yangu yalivyo kuhusu kusanyiko hili....
Asanteni
Hi oll napenda sana kuchat kwa email kwa atakae penda tubadilishane mawazo na kupeana michongo pia boybway@gmail.com.... my number ni 0689 784 834 eney time penda wote
From near Arusha
Jamani nimechoka kuchungulia au kula chabo kila siku nimeona nijisalimishe rasmi nafaidi uhondo wa JF kwa raha zangu kujiiba iba sio kuzuri. Naomba wakongwe mnifanyie orientation na maeneo husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.