Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi humu,nimeingia,nikaribisheni.
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Mm ni mgeni humu ni matumaini yng mtanipokea nakuniongoza vyemaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wandugu bila shaka ni wazima humu ndani hongereni kwa kuuona mwaka mpya 2016, poleni kwa machunug ya 2015 na hongereni kwa mafanikio 2015 awali ya yote mwaka ndyo huu ndo kwanza tunaunza...
0 Reactions
4 Replies
898 Views
Hodi Wenyeweee
0 Reactions
3 Replies
893 Views
hey waungwana napenda kuchukua nafasi kujitambulisha kwenu kama new member wa jf makofi tafadhari
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mimi ni mwanachama mpya nawasalimu wote,ila bado sijaelewa vizur kuhusu jamii forum so yeyote anaejisikia kunipa darasa namkaribisha sana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
napenda kuwasalimu Mimi mpya maeneo haya naombeni mnipokee
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nmefurahi kuwa kwenye grupu la jf
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam wenyeji humu. Nina furaha kujiunga nanyi JF. Ni ukweli kuwa jukwaa hili ni zaidi ya habari, kwani nimefaidika sana na michango na debate zenu nikiwa nje. Mnipokee labda nami nichangie...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wastaarabu, Waungwana na wana Hekima nawasabahi na naomba Kuwait mmoja wenu humu jamvini.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeamua kijiunga huku baada ya kuona nafaidika sana na topics za humu ndani zimenifanya nifahamu vitu vingi.0
0 Reactions
4 Replies
1K Views
haitii mimba wala haitapishi mimi ni mgeni humu na hekima ya mgeni ili apate mapokezi mema,salam ndo kitu cha kwanza!. HABARI ZENU MEMBERS WENZANGU WA JAMII FORUM,i wish tutakuwa pamoja kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodii.... Sina budi kubisha hodi kwa sababu ndio naingia sehemu ngeni ambayo wenyeji wake wamekwisha andaa mazingira yake vizuri.Kwa mantiki hiyo ni lazima niombe utambuzi wenu kwangu ili tuwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mgeni ijapokua sina kamba mguuni
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Wastaarabu, Waungwana na wana Hekima nawasabahi na naomba Kuwait mmoja wenu humu jamvini.
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Wastaarabu, Waungwana na wana Hekima nawasabahi na naomba kuwa mmoja wenu humu jamvini.
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Ni msemo mkongwe sana. "MGENI NJOO MWENYEJI APONE" nimekuja na maarifa ndugu zangu, tafadhalini nipokeeni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nawashukuru member
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je unatafuta nyumba za kununua, viwanja, mashamba, yard, viwanja vya biashara barabarani kama vituo vya mafuta, bank nk. Yard zinapangishwa Soweto mbeya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi ndugu zangu Nimekuwa msomaji wa mda mrefu wa habari mbalimbali hapa jf..Nikiri wazi tu kwamba nmefaidika sana na uwepo wa jf.. naomba mnikaribishe wakuu ili iniweze kushare...
0 Reactions
4 Replies
900 Views
Back
Top Bottom