Hodi Jamvini Waungwana

Pacman

Member
Dec 26, 2015
6
1
Wastaarabu, Waungwana na wana Hekima nawasabahi na naomba Kuwait mmoja wenu humu jamvini.
 
Karibu sana...ila humu jiepushe na maandiahi ya ki-facebook kama x badala ya s na unapaswa kuandika maneno kamili
 
Karibu sana...ila humu jiepushe na maandiahi ya ki-facebook kama x badala ya s na unapaswa kuandika maneno kamili
Shukrani. Hayo nyumbani kwangu nilishayapiga marufuku, kama k badala ya ok.......sipendi kabisa!
 
Thanks lukesam. Si wajua tena jamii na vijana wetu hawa walivyovalia njuga hizi swagger......kazi tunayo kwelikweli...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom