Samahanini kama nilivyowaeleza kua mi mgeni humu ko matumizi ya hii jf bado cjawa na uzoefu nashindwa kupost picha jaman tatizo ni nini au nifanyeje ili ni upload picha jaman nimeshindwa kabisaa...
Bwana Yesu asifiwe
HAslaam alyeikum
Tumsifu Yesu kristo
Kristo
Peopleeeessss
Ccm oyeeeee
Cuf....
Shukrani za pekee zimwendee alieniumba na viongozi wa jf kwa kunipa ruhusa ya kujitambulisha...
Ndugu wana JF nawasalimu katika jina la Mungu. mimi ni member mpya kabisa humu ndani, ni matumaini yangu kuwa mtanipokea na natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu. asante.
Nimekuwa mfatiliaji wa JF kwa takriban miaka miwili sasa na nikavutiwa na mada moto moto zitolewazo humu ndani pamoja na watu makini wenye uwezo wa kujenga hoja kama vile kiranga , na wengineo...