JF Members wenzangu,....sitawaangusha Watakaotegemea mchango wangu,kimawazo nitahakikisha nakuwa Genius na kutoa ushauri as a gentleman.
Naomba mnipokee.
Habari, mimi ni mgeni humu jamii forum tokea nijiunge naishia kusoma thread zilizotumwa na wengine tu, mara nyingi nawaza kama naweza nikatuma thread yangu na ikakubalika! Naombeni mnipokee...
Wadau hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jf, mnipokee mja wenu, natumai tutakuwa wote na tutashirikiana vema katika mambo ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza mshikamano.
Nipo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.