Unajua upo wapi sasa hivi?Mimi ni mgeni jamani naomba tuvumiliane na kupeana muongozo panapostahili...
Unajua upo wapi sasa hivi?
Karibu sana! Naona umeingia chumba cha wapenda maendeleo, wasiopenda blaablaa! Unahitaji mwongozo katika lipi Mr. Yata?Mimi ni mgeni jamani naomba tuvumiliane na kupeana muongozo panapostahili...
Haya rudi haraka jukwaa la utambulisho kabla haujachapwa vibokoYes najua...
Mkuu mshana muongoze kijana asije akapotea humu
Kwa umoja wetu tutawezaMkuu mshana muongoze kijana asije akapotea humu
Cha kwanza picha!!Mimi ni mgeni jamani naomba tuvumiliane na kupeana muongozo panapostahili...
Cha kwanza picha!!
Pili!! Wee ni me au ke!!
Tatu!unatokea wapi
Nne!wee chama gani cha kisiasa hapa tz!
Kumbe mwenyeji anatuzuga