Hodiii hodiiiii hodiiiii

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
Bwana Yesu asifiwe
HAslaam alyeikum
Tumsifu Yesu kristo
Kristo
Peopleeeessss
Ccm oyeeeee
Cuf....

Shukrani za pekee zimwendee alieniumba na viongozi wa jf kwa kunipa ruhusa ya kujitambulisha

Nasikia huku nako kuna ma super staa kama kule nakopenda ukiingia Badooo

Jina: sizonje Madama
Jinsia: me
Kabila: none
Utaifa: mTanzania kindaki ndaki
Marital status: sijaoa
 
Hujaoa!?. Ukae mbali na wake za watu humu,usiwe macho juu juu kama yai la chemli.

Heshima kwanza,ustaa ukiutaka utaupata mbeleni.

Karibu
 
Hujaoa!?. Ukae mbali na wake za watu humu,usiwe macho juu juu kama yai la chemli.

Heshima kwanza,ustaa ukiutaka utaupata mbeleni.

Karibu
Ahsante Mkuu
Ila app kwenye wake za watu nitajuaje kuwa huyu ni mke wa mtu
 
Hii ni multiple id, umejuaje kuna jamaa wanaitwa mods humu!
Wewe siyo mgeni hataaa kidogo..
Mkuu nimeingia humu juzi nimeruhusiwa kujitambulisha leo kipindi chote nilikuwa napitia tu post za wenzangu ambazo nimegundua zinaktwa treads, nimegundua pia huku neno Mkuu linatumika sana kwa baadhi ya post nilizopotia Jana na juzi baada ya kujiunga nimegundua pia viongozi wa uku wanaitwa mods nimegundua Mengi huku ni tofauti kabisa na badoo, fb, inst n.k
 
Kumbe ndio maana kaingia na mbwembwe nyingi
Sio kweli
Nimejiunga juzi viongozi wa jf wameniruhusu leo nijitambuloshe tangu juzi nilikuwa napata uzoefu kupitia post za wakongwe ambazo nimegundua huku post wanaziita treads, nimegundua viongozi wanaitwa mods, nimegundua Mengi sana huku ni tofauti kanisa na kule huku kuna mijitu inamiakili vibaya
 
Back
Top Bottom