Nimerudi tena jaman msaada

shamp

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
225
213
Samahanini kama nilivyowaeleza kua mi mgeni humu ko matumizi ya hii jf bado cjawa na uzoefu nashindwa kupost picha jaman tatizo ni nini au nifanyeje ili ni upload picha jaman nimeshindwa kabisaa
Samahanini kwa usumbufu
 
b733c14fee484a36d416ba885d7e2cdf.jpg

Hapo nilipozungushia duara nyekundu ndo una click hapo utaenda moja kwa moja kwenye gallery ya simu yako then utachagua picha unayoitaka Kisha Utaweza apload hapa.
 
b733c14fee484a36d416ba885d7e2cdf.jpg

Hapo nilipozungushia duara nyekundu ndo una click hapo utaenda moja kwa moja kwenye gallery ya simu yako then utachagua picha unayoitaka Kisha Utaweza apload hapa.
 
Back
Top Bottom