Habari zenu ndugu zangu. Kama nilivyoandika hapo juu, ninayo heshima ya kujitambulisha kwenu kama Mr teledam. Nataraji kupokewa na kupewa maelekezo yoyote ambayo yatakua na tija ili azma yangu ya...
Hodi hodi jamana,mi mgeni naomba mnipokee na kuni juvya yote yaliyomo humu na huwa naburudika na jmf,natumaini mmenipokea asanteni sana wenyeji wangu nawasilisha.