Jamani mimi mgeni humu ndani naomba mnikaribishe tuwe pamoja!!!

Nawapenda sana
Karibu zingatia haya;

1. Mazungumzo utakayoyafanya PM (Private Message) na mtu yeyote usiyalete jukwaani utapigwa ban.

2. Kumtukana, kumkashifu au kutoa lugha za maudhi kwa member mwenzako utapelekea kupigwa ban.

3. Kuandika kwa mahadhi ya facebook mfano x kua s, tyu kua tu na kufupisha fupisha maneno siyo kosa ila utawakera wadau wengi.

4. Tuma picha yako pm na namba ya simu.
 
MMU ni jukwaa la mahusiano,mapenzi na urafiki

PM ni private message (ni kama inbox ya watsup,mnayochat huko hairuhusiwi kuyaweka hadharani)
mtu akikwambia ni pm ana maanisha mtumie sms inbox

Asante Numbisa lakini naomba utanielekeza vizuri MMU na ku m PM mtu inakuaje!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom