Kama ilivyo kwa nia ya kuanzishwa kwa mtandao huu nimeona nami nijiunge ili nipate habari mbalimbali, kutoa/kuchangia hoja na vingine vingi bila kuathiri sheria za matumizi ya mtandaoIli tuweze kukusaidia katika hali ya kutukuka, tujuze azma yako ya kujiunga JF ni ipi?
Tuanzie hapo kwanza.
karibu xanaHabari zenu ndugu zangu. Kama nilivyoandika hapo juu, ninayo heshima ya kujitambulisha kwenu kama Mr teledam. Nataraji kupokewa na kupewa maelekezo yoyote ambayo yatakua na tija ili azma yangu ya kujiunga na jf itimie. Natanguliza shukrani