mkuu! mgeni ajaomba maji kashaanza kula za usoo jf foreverKaribu sana mr. Themason
Alafu hii post yako haiendani na furum husika, ila kwakuwa wewe mgeni haina shida.
Alafu kama hutojari napenda kufahamu ni kwanini unajiita themason?
hahaaa...ahsante kaka kwa kunijulisha afu vp kwan umeelewa nn kuhusu TheMason au umeelewajeKaribu sana mr. Themason
Alafu hii post yako haiendani na furum husika, ila kwakuwa wewe mgeni haina shida.
Alafu kama hutojari napenda kufahamu ni kwanini unajiita themason?
Wewe si ndo muhusika hapa?hahaaaa mimii au
Huikumbuki jinsia yako ninihahaaaa mimii au