Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mimi mgeni nafurahi kuungana nanyi hapa, nahitaji ushirikiano wenu
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari zenu poleni na uchovu wa shunghuli za leo kwa ujumla. Mgeni katika anga hili naamini nitapata mapokezi mubashara toka kwenu.
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Habari wakuu Tupambane na hali zetu..
2 Reactions
3 Replies
653 Views
Habari wana JF,baada ya kipindi kirefu kuwa naperuzi nimeamua na mimi nifungue account niwe mchangiaji.Naomba mnipokee pia mwenye avatar nzuri tafadhali anitumie niweke hapo
0 Reactions
5 Replies
714 Views
Nawasalimu wanajumuia baada ya kuwa msomaji kwa muda mrefu hatimae nimeamua kujoin
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni matumaini yngu mu wazma wa afya naombeni mnipokee humu kama mwana familia mpya..asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fanya kitu sahihi na sio kitu rahisi
1 Reactions
3 Replies
638 Views
Mimi ni mgeni katika jukwa hill ila nmkuwa nkpata info mbalimbali za Kim aisha kupitia humu naombeni ushirikiano wenu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi mgeni hapa nmejiunga leo huu mtandao, tuchati kwa pamoja tushee idea Thanks
1 Reactions
4 Replies
745 Views
Hodii
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Naombeni mnipokee na nahitaji ushrikiano wenu wa kimawazo..Asanten ndugu zangu
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu. Napiga hodi kwenye jukwaa hili , home of great thinkers,where we dare to talk openly. Nimesoma terms na conditions vema kabisa.naomba mnipe ushirikiano wenyeji. Asanteni
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Member mpya mie nahitaji ushirikiano wenu as well nataka kufahamu sheria na kanuniiii I mean vitu gani haswa havitakiwi humu
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni humu,,mnipokee ndugu yenu.Amani Dar es salaam, nyumbani Tanzania.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za mida. Mimi mgeni humu, hodii!...
1 Reactions
4 Replies
686 Views
habar wana jamvi Mimi ni mgen kidgo lakin kama nilivyosema ni mgen mwenye manufaa... manufaa yangu ni haya kama unamiliki kifaa chochote kinachotumia oil (lubricant ) nitafute kwa ushauri wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
aka tin monster
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau mabibi na mabwana naombeni mnipokee kwa mikono miwili[emoji1431]
1 Reactions
3 Replies
786 Views
Hodiiiiiiiiii
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, mm mgeni humu, ni vitu gani humu vinafanya nifurahi bila kuwa banned, asante sana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom