Hodii,naombeni muongozo mm mgeni humu

smatskills

Member
Nov 12, 2017
30
19
Habari ndugu zangu, mm mgeni humu, ni vitu gani humu vinafanya nifurahi bila kuwa banned, asante sana
 
Salama, karibu mgeni jaribu kupitia sheria za jf hope utaelewa na kupata majibu ya maswali yako
 
Isijekuwa We ndo yule HR 666 umeingilia dirishani, Anyway karibu asee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom