Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
I"m new member on JF. Mashirikiano yenu wanadau wote.
0 Reactions
2 Replies
598 Views
hodiii wadau! mie mgeni wenu leo!!!
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Godlisten
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Habari ndugu zangu, Mwenzenu ndio hivyo nimejiunga kundini, napenda mada zinazochangiwa hapa JF ndio maana nikaamua kujiunga leo, natumaini kupata kile nilichofuata na niko tayari kutoa...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Jamani wenye forum yenu hodi humu, naomba kuwa mmoja wenu mi mgeni humu.
0 Reactions
5 Replies
646 Views
Nimekuwa nikipitia sana mtandao huu wa JF lakini leo rasmi nimeamua kujiunga nawaomba mnipokee na tushirikiane kwani sisi sote ni familia moja...Thanx!.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The water
0 Reactions
2 Replies
541 Views
Mm nimtanzania mwenzenu nimgeni, Jf naomba ushirikiano wunu
1 Reactions
4 Replies
830 Views
member wa jf naomba kujitambulisha kuwa mimi ni mtu mzima ninayehitaji elimu ya uzeeni.naomba kupitia jamvi hili nipate elimu kabla mola hajaniita mbele ya haki. ELIMU HAINA MWISHO.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana me sina mengi ya kusema ila ni kwamba me mgeni naomba mnikaribishe na mnipe mwongozo wa humu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nichukue nafasi hii kujipongeza kwa kutimiza mwaka mmoja na miezi mitatu Jf
4 Reactions
16 Replies
1K Views
habari zenu wadau naomba kukaribishwa katika jukwaa zima la siasa na jamii form kwa ujumla mdau mwenzenu
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari ya uzima sana JF, Nami nimeweza kujiunga na JF maana siku nyingi sana najaribu inanitoa ushamba na hamu yangu kubwa ya kujiunga ni kuwa nashiriki midahalo inayotolewa humu kwa wema pia...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mgeni
0 Reactions
6 Replies
714 Views
Tuko pamoja jamani gurudumu lisonge
0 Reactions
5 Replies
876 Views
Habari zenu mi ni mtanzania mwenzenu mnipokee kwa wema asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Zenu Wana Jf Me Mgeni Kwenye Jukwaa Hili
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa majina naitwa paschàl Mathew Nina umri wa miaka 20 home tabora mi mgeni humu ushirikiano tafadhali
1 Reactions
3 Replies
750 Views
Nabisha hodi JF mko poa!
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Mimi mgeni nafurahi kuungana nanyi hapa, nahitaji ushirikiano wenu
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom