Before beginning presenting on what has been bothering me for along long time,I would love to greet you all and also inform you that i will be using using swanglish to communicate.If you have a...
naenda moja kwa moja kwenye point...
hivi kama wanaume tumefikia mahala kuvaa suruali/jeans za kubana hadi ifikie..
1 -kuipandisha hadi kiunoni si chini ya dk 5 na kuchomekea vest na shati dk 5
2...
Wewe na girlfriend wako wote ni wanafunzi alafu unambiguous mzinga wa laki mbili binti wa watu inategemea atazitoa wapi? Ukisikia kuna jibaba la TRA linaghramia eti unamwita malaya hii ni sawa...
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ???
Kama ujanipata hebu...
Leo ningependa nitoe shukurani zangu kwa Rais wetu JPM kwa kuongeza idadi ya wanawake wenye vipara au wenye nywele za kunyoa.
Ki uhalisia wanawake wenye vipara wameongezeka kwa kasi tofaut na...
Habari ndugu zangu,
Naamini mko salama na bado mnaendelea kupigana na maisha ya sasa na hata kwa baadaye.
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuhusu majadiliano kwa pamoja kila mwenye wazo...
Unakuta pochi ya mama au mdada kwa nje ni nzurii na ni ya bei ila huko ndani ni majanga. Mafoundation yamemwagika huko ,malipstick marangi. Mwingine aliweka msosi kwnye sherehe kikamwagika huko...
Ukiwa mwanaume au mwanamke upigaji sopusopu ni jambo la busara sana ili kukuweka mtanashati na mwenyekuvutia muda wote kwa kuondoa uchafu na pia kuondoa mafuta ambayo yana kawaida ya kutanda...
Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba.
Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje...
Asalaam
Tuambizane uvaaji wa nguo kulingana na mazingira husika kama kwenye sherehe,ofisini,unatoka out na babe,kanisani uvaeje,safarini,safari fupi lets say umeenda shoping ukiwa home uvae vipi...