Habari zenu ,
Mim naomba kujuzwa jinsi gani wanavyopaka "makeup" hawa warembo wetu wa Tz, na ni vitu gan haswa unatakiwa uwe navyo mf.foundation na vingine ambavyo mnajua wataalam wa sekta ya...
Sweeties, nataka kuweka curl kwenye nywele zangu nina nywele ndefu zenye dawa ila mbele na nyuma zimekatika sana na sasa hivi zimeotea balaa, so nina mpango wa kuzipunguza ziwe saizi ya kitana...
Urembo na Mapambo
Bangili, hereni na mikufu unayoitumia mara kwa mara vinafaa vitundikwe kwenye stand maalumu mahali panapofikika kiurahisi mfano juu ya dressing table ili iwe rahisi kuvichukua...
Wadau na Wajuzi wa fasheni mavazi gani stahiki kwa wanamume wafuatao kulingana na hali zao( kwa mfano aina mavazi na ranging zake n.k)
a) Mtu mwanamume mrefu mweupe
b) Mtu mwanamume mrefu...
Bila shaka kabati la vyombo ndio fenicha kubwa zaidi kwenye chumba chako cha chakula ikifuatiwa na meza, kwa maana hiyo linachukua nafasi kubwa zaidi ya muonekano wa chumba hicho.
Kwa kawaida...
Habari zenu,
Naomba niseme na mabinti wenzangu hata pia baadhi ya wamama wamejisahau. Hivi unawezaje kutoa mguu kwenu(kwako) ukiwa mikono mikaaaaavu?
Binti unatoka huna khanga/mtandio khaaaa...
Ulishawahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? lakini kwako ni tofauti? ukawaza labda wanatumia vitu vya bei ghali ambavyo wewe huwezi ku – afford, au umesha...
Wiki ijayo nina harusi wadau, nataka kuutoa au kuupunguza ule weusi wa kunyoa ndevu mashavuni na shingoni kwa njia za asili maana "scrub" za kizungu za viwandani hazinisaidi wakuu na mimi nataka...
Jamani kupendeza na kushine ni jambo la kila mwanadamu, Najua humu jf watu muna experience na lotion mbali mbali .JE ni losheni gani kumfanya mwanamke ashine na ipi nzuri kwa mwanaume
HERENI ni pambo linavoliwa masikioni na kwa kiasi kikubwa linachangia kuongeza mvuto na muonekano mzuri.
Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zipo ambazo hutengenezwa kwa...
Wigi huvaaliwa zaidi na wanawake wenye asili ya Afrika au Wamarekani wa saili ya Afrika.
Chimbuko halisi la uvaaji wigi ni ubaguzi uliokuwepo wakati wa utumwa ambapo wale wenye ngozi nyeupe na...
Wachambuzi wa mambo ya saikolojia wanasema kwamba kwa kuchukua tai na kulivaa ile rangi ndiyo itakayoweza kupeleka ujumbe wa wewe unataka nini au unataka watu wakutambue kwa namna gani.
Wakati...
Habari zenu
Naomba leo tuambizane ni mafuta gani au dawa gani unayoitumia pindi unapoa ndevu au sehemu za siri na kukufanya ngozi yako ibaki nyororo isiyo na vipele
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari JF,
Ninaishi sehemu kunakopatikana maji ya chumvi kwa wingi, ni eneo nililohamia hivi karibuni. Nilichogundua ni kwamba maji haya yakitumika kufulia nguo huwa zinapoteza ule umaridadi...
Wadau,
Hii nimeishuhudia sana Arusha hasa sehemu za Tengeru kwenda mbele. Utakuta mama kaualamba vizuri kweli mfano gauni zuri, au dila, su sketi ndefu nzuri au suruali pana ya heshima.
Utakuta...