Kama tunavyojua uwanaume ni ishara ya ukakamavu, unguvu na ujasiri. Sasa kwanini unashindwa kwenda bafuni kuoga kisa tu kuna baridi je wewe ni binti?
Mimi Ninavyojua mabinti wa miaka 8-15 ndio...
Kama mnavyojua leo weekend nimetoka kuoga ndio najiandaa kwenda location. Nimeona sio mbaya wanaume tukapeana tips mbalimbali za usafi.
Msimu wa baridi ndo huu na mafuta/losheni ni muhimu kupaka...
Wanawake hoyeeeee, Wanawake juuu!
Tupeni siri ya sketi za penseli jamani, yaani mimi huwa napenda sana mwanamke akivaa sketi ya penseli. Sijui kwanini.
Kipindi hicho wakati nilipokuwa mdogo ndio...
Hizi Body Splash zinapendwa sana na watu wa vipato vya kawaida ambao ndio wengi, changamoto ni kwamba zimepanda bei na hii ni kwasababu ya demand kuwa kubwa. Je muuzaji mkubwa wa hizi Body Splash...
Mimi ni mfanya biashara katika upande wa mavazi kufanya design nzuri yenye muonekano mzuri na wa kipekee katika mjumuisho wa art culture na kwa mzingatio wa muone kano mzuri na wa kitofauti
Wakuu Sote tunajua wazi sisi wanaume si wa mambo mengi.
Ni rahisi sana kumkuta mwanaume ana suruali mbili na mashati matatu na hawazi wala kuongelea mavazi na ameridhika nayo wala hajari.
Ni...
Maisha yanapata maana mpaka pale utakapoanza kujali usafi wa mazingira yako, mwili, nguo na mavazi
Inasikitisha kuona usafi ni kwa ajili ya watu matajiri halafu uchafu ndo unaonekana ni asili...
Rais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi manukato mapya ya kifahari kwa wanaume na wanawake.
Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na yamepewa jina la...
Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata...
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani...
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo.
Jinsia yangu ni mme
Ahsanteni
Suala la kuvaa kipindi kwa pwani ni suala la kawaida na urembo, Pwani, Tanga ni jambo la kawaida. Tatizo watu wa bara wana mtazamo finyu wa utofauti wa jamii, mtu ametoa huko anakuja anakuta watu...
Katika ulimwengu wa leo, mitindo ya mavazi imegeuka kuwa uwanja wa mashindano ya kuonyesha miili badala ya kuonyesha heshima, adabu, na utu wa mwanamke. Kinachosikitisha ni kwamba hata wanawake...
Changamoto ya harufu nzito ya uvundo wa jasho kwenye nywele huwa kero na usumbufu kwa wasio husika.
Kwa wazoefu, ni katika muda gani yafaa nywele kuoshwa, kusukwa tena bila kufumua na kuficha kwa...
Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.
1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver...
Habari ndugu jamaa na marafiki.
Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo...