Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Hello dears kwa aliyewahi tumia Lotion ya Kanza naomba anipe mrejesho.
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Kama unauza au unafahamu begi za namna hii zinauzwa wapi naomba unijulishe maana nazihitaji sana.
6 Reactions
9 Replies
4K Views
Hivi fundi aliyewashonea zile suti alikua hana futi kamba? Au alipoteza vipimo?Mbona amewashonea vijana wa taifa suti ngoko zote nje..na kwanini hawa vijana wengine hawajanunuliwa soksi. Ni ajabu...
5 Reactions
114 Replies
16K Views
Habari wana JF. Naomba msaada wapi au kiwanda kipi naweza enda wakanisaidia kunitengenezea sabuni na lotion za alovera. Nahitaji sabuni na lotion zenye kiwango kikubwa cha alovera not less than...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wananzengo salama? Nahitaji dawa ya kuongeza ndevu pamoja na mvi za kichwani na kwenye ndevu Nina mvi chache kwenye ndevu na nyingine kichwani so nahitaji ndevu zote ziwe nyweupe na kichwani pia...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Redirect
Habarini za leo marafiki. Ndugu zangu mwenzangu anatatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka. Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka
1 Reactions
Replies
Views
Habarini za leo marafiki. Ndugu zangu mwenzangu ana tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka. Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
3 Reactions
17 Replies
7K Views
Bila Shaka mu wazima, naomba kuuliza anayeifahamu keto made by China, aniambie, inapopatikana tafadhali. Ni cream kwa ajili ya uso, huondoa dead skin na kukupa ngozi lain nyororo, haichubui...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo. Jinsia yangu ni mme Ahsanteni
9 Reactions
225 Replies
60K Views
Habari za mihangaiko ya siku nzima wakuu Hoja yangu haina umuhimu Sana lakini nahitaji msaada. Kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kupoteza muda wenu na kuchangia mada yangu. Leo ndio siku ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ua zuri lenye harufu ya kuvutia mi nalifahamu kwa jina la KILUA, haya maua nayaona sana maeneo ya pwani ebu wanayoyafahamu wanieleweshe zaidi kuhusu huu mti unaotoa haya maua.
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Nahitaji kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu. Binafsi siifahamu sijawahi kutumia naomba uzoefu toka kwenu wazee wa baraza.
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Baada ya kutumia muda mwingi kutafiti [kigooglegoole] masuala ya nywele na upara na mambo yanayohusiana na hayo, basi leo nimehamishia udadisi wangu JF. Katika kupitiapitia baadhi ya nyuzi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani, nataka kujaua ni anti wrinkles products ipi nzuri kwa mwanaume
1 Reactions
11 Replies
2K Views
There is a popular saying which goes thus; "dress the way you want to be addressed" as the way one is dressed, speaks about someone. In this era, time and age where decency has become a scarce...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Hii nimeishuhudia sana Arusha hasa sehemu za Tengeru kwenda mbele. Utakuta mama kaualamba vizuri kweli mfano gauni zuri, au dila, su sketi ndefu nzuri au suruali pana ya heshima. Utakuta...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshima wakuu, Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliacha kuvaa vimawigi. Kwanza mlikuwa hampendezi, hata sijui nani alikuwa kawafundisha. Baada ya kuachana na mawigi, wengi huwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Hamjamboni, kwa kweli kwa moyo mweupe naomba sana nikushukuru mwana JF Evelyn Salt. katika thread moja ya lotion ipi nzuri isiyochubua. kuna sehemu ulicomment kuhusu kutumia mafuta ya mawese na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa sasa vitambi sio kwa wanaume pekee bali hata hawa jinsia ya upande wa pili nao wametupokea tena kwa kasi nguvu na shauku na wanakuja kwa kasi sana nowdays. Kulikuwepo na fedheha nyingi toka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za mchana waungwana, Huwa najiuliza huyu aliyevumbua bra aliwaza nini? Hebu fikiria kusingekuwa na bra hivi tungeishije wanawake... Yaani bila bra wengine tusingetoka ndani... Kudos kwa...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom