Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nawasalimu wote wana jukwaa, Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku. Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya: 1. Mikoa sahihi kwa...
7 Reactions
99 Replies
11K Views
Yoyote anichek upande huu wa kanda ya ziwa nitampa deteils. Majembe moko ponchi
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu habari Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu 1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka 2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu 3. Upande wa sokoni 4.Kwa heka moja naweza...
2 Reactions
4 Replies
21K Views
Habarini wana jamvi wote. Natumai wote tupo poa, tunajenga taifa. Naomba niende kwenye maada moja kwa moja. Mimi ni mkulima wa mazao ya muda mrefu na mfupi. Sasa mwaka jana nilifanikiwa kulima...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Msaada kwenye tuta. Wakuu ni dawa gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuua wadudu wakiwemo mchwa, mende, kunguni na wote wanaotambaa na kuruka.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
543 Views
Watanzania tuchangamkie fursa. Malawi na Zambia zimeruhusu toka mwaka juzi na mwaka jana, kilimo cha bangi Kwa matumizi ya viwandani. Bangi hiyo unalima Kwa kupewa kibali maalumu na serikali...
5 Reactions
13 Replies
913 Views
Habari wakuu, Nataraji mko wazima licha ya majukumu mengi ya ujenzi wa taifa. Zote tumeshudia bei ya juu sana ya mafuta ya kula, Na kwa wale hawajui mafuta ya kula inatokana na hizi bidhaa...
4 Reactions
34 Replies
8K Views
Wakuu Kama ilivo ada na utamaduni wetu Toa kitu upate kitu. Siku ya nane nane mwanza niliona nguruwe wazuri Large white na wengine wa kisasa ila sikupata wazo la kuchukua no . So kama kuna mtu...
1 Reactions
4 Replies
693 Views
Habari zenu wakuu. Natak nifanya kilimo Biashara lakini nahitaji eneo kubwa Sana. Je, mnanishauri nianzie wapi kwa wazoefu au wenye uelewa. Nahitaji ekari Zaidi ya 50.
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Mm nimfugaji wa kuku na Bata ila napata changamoto ya kunguru kula vifaranga na mayai bandani wakimuona kuku katoka kutaga wao wanaingia yani ni mwendo wa kuviziana tu niwahi mm Yai au kunguru...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege...
1 Reactions
2 Replies
716 Views
Wakuu baada ya kutafakari mda mrefu Mara baada ya kufiwa na makuku yangu matetea 10 licha ya kuwapa madawa nimepata wazo la mbuzi.... Vipi wazoefu wa mfugo huu
5 Reactions
54 Replies
10K Views
Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar wadau? Napenda kufuga nguruwe ila sina uzoez wowte ndo nataka niingie ktk game! Mwenye experience anisaidia, mbegu bora banda bora.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kilimo cha mbogamboga kinafaa Dodoma maeneo ya Haneeti kwa wanaojua hayo maeneo
2 Reactions
5 Replies
710 Views
Hello farmers, Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani. Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani kwa maslahi ya wachache. Mwaka 2022 nimechoma zaidi ya tani...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanajamvi, Nahitaji kujua njia bora na salama za kutumia ili kuku wa nyama waweze kuwa na uzito mkubwa kuanzia kilo mbili kwa muda wa mwezi mmoja. Natanguliza shukrani.
3 Reactions
32 Replies
3K Views
MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE UTANGULIZI Kuku kama wanyama wengine hushambuliwa na magonjwa mbalimbali ambayo mengine yanatibika kwa dawa na mengine hayana tiba bali kuku hupewa chanjo maalumu...
7 Reactions
45 Replies
82K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…