Hii inalipa au?
Kuna mtu kaniambia anao mzigo nimtafutie masoko ya nje ya nchi lakini mimi sijui cha kufanya kwani naskia ma Chinese ndio wanunuzi wakubwa lakini hapa bongo nako naambiwa kuwa...
Habari ndg wana JF.
Napenda kuwajulisha kuwa sasa hauna haja ya kuangaika kutafuta huduma ya usafiri unapokuwa na shughuli yako ya Harusi, Msiba au Any tripe Tour.
Tuna magari aina zote ya...
Habari zenu Wajasiriamali!
Leo nimekuja na wazo la kutengeneza muongozo wa mkulima(user guide). Wazo hili limekuja baada ya mimi banafsi kunufaika na maelezo (nondo) yanayotolewa humu kuhusu...
Ndugu wadau wa ukurasa huu mi ni kijana ambaye nimeamua kujiajiri na kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kutafuta soko la mafuta ya ubuyu haswa haswa kwa wale wanao chukua kwa jumla. kupitia ukurasa...
Wakuu kama kuna anaye hitaji hizi Mashine basi tuwasiliane, ni Made in China ila zina Ubora mzuri sana katika kutotoresha Mayai na unaweza totoresha mayai ya Kuku, Kanga, Bata, na Hata Ndege...
Tarh 29/10/2012 niliweka post yenye kichwa "Asanteni jamiiforums,hatimaye nimeanzisha mradi wangu lakini bado changamoto zipo".
Leo napenda kuwashukuru wote kwa mawazo yenu pia kuwarejeshea...
HABARI WANA JF.
Nimeamua kuanza ujasiriamali wa kulima pilipili na nyanya chungu huku morogoro.
kwa kwenye taarifa kuhusu soko la hizo product anijuze.
Wadau naombeni msaada kwa wale watu wanaojua kampuni zinazosafirisha vifurushi toka USA kuja Tanzania mbali ya USPS,FEDEX na DHL anisaidie kujua ikiwezekana na mawasiliano yao!asanteni
Waungwana, Kuna mjasiriamali kilimo ambaye anataka kuanza biashara ya mazao mbali mbali yanayostawi kwa muda mfupi kutumia kilimo cha umwagiliaji, mkoani Morogoro. Anaomba ushauri wenu...
Nina mpango wa kusupply maziwa fresh toka kibaha kuja maeneo hapa dar. Ni watu gani ni wa kuwaona wataonunua kwa bei nzuri. Coz, ntakuwa nikinunua kwa 1200/- kwa lita, nina kuna uwezo wa kupata...
Wana JF habarin! polen na majukumu,
kwa kifupi mimi nina wazo la kujiajiri kwenye kilimo cha mboga mboga kwa umwagiliaji maeneo jirani na DSM,
kwa yeyote nahitaji ushauri ni yapi maeneo...
Nunua trey10 za mayai chemsha zungusha mjin maeneo karib au ndan ya stand,
trey10 ni sawa na mayai mia3
uza sh mia3 kila moja
Faida 300x300 toa elf50 =elf40
ukiweza pata vijana na kuza tray10...
Nyote mnajua kwamba ule muarobaini tulioahidiwa na TANESCO kwamba mgao wa umeme ungekwisha, SASA HAUPO TENA.
Kinachotakiwa ni kuiweka TANESCO kando na kusonga mbele.
Nina mawazo thabiti kuhusu...
Kwa wale wazoefu wa m.pesa naombeni ushauli...nataka kujihusisha na biashara ya m-pesa ...je ina lipa? Kama inalipa ni kwa kiasi gan?principal gan zinatakiwa ili ilipe zaid na zaid? Na changamoto...
Ni mjasiriamali niliuza korosho kwa mfumo wa stakabadhi ghalani tangu tr.15 September, mpaka leo nasikia hawajaanza kulipa' please kwa mwenye kujua naomba anifahamishe'
Wadau habari!nakuja tena jukwaani kuomba kupata ushauri juu ya biashara ya chaki(chalk),nilibahatika kupata kimasheni cha kutengenezea chaki kama zawadi toka kwa wadau fulani wa nchi ya...
Incubators ni Kifaa kinacho tumika kuangulia mayai, na hufanya kazi ambayo kuku hufanya, Ila tofauti na Kuku ambaye hutumia bilogocal katika kuatamia Mayai, Incubators mara Ntingi huhitaji akili...
wakuu wana Board poleni kwa majukumu mazito mlionayo.Hoja yangu ni kutaka kujua ufanisi wa mashine ya selcom na hudama zake zote ukilinganishi na ile ya Maxcom,mimi ni mtumiaji wa mashine ya...