Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari...
Habari wana JF! Naomba nifahamishwe kuhusu taratibu za kufuata ili kuwa wakala wa Luku. Pia malipo kati ya wakala na Tanesco yapo kwa utaratibu gani. Pamoja na experience mbalimbali za...
Habari wadau!
Nina mpango wa kuanzisha kituo cha television (entertainment) hapa nchini lakini sijui natakiwa niwe na mtaji kiasi gani.Tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipatia makisio ya juu ya...
Jamani naomba msaada wa kitaalam kwa sababu kuku wangu utagaji wao uko chini sana kiasi ha asilimia 65 na si zaidi tena hapo wamejitahidi sana mara nyingi wana kuwa chini ya hapo
Hebu tembelea blog hii ya UCHUMI KWANZA utajifunza mengi
Tanzania kuna fursa nyingi sana za kujikwamua kijasiriamali maana serikali imetutupa
Mwezi ujao kutakuwa na semina pale Kibaha Maili Moja...
Wanajamvi kumekuwapo wenzetu humu jamvini wakipata pesa hawajui lakufanya. Nimejaribu kufanya maulizo kuhusu hizi kitu GH na haya ndo majibu waliyonipa. Web yao ni Greenhouses in Kenya | Borehole...
Habari yako mwana-JF?
Nataka kujihusisha na ukopeshaji wa fedha kwa ngazi ya chini (yaani Tshs. 50.000-Tshs.200,000), ningependa kujua kwa ukopeshaji huu, ni utaratibu gani utumike ili nifanye...
Nawasaliimu wote
natumaini all of you are doing fine kabisaa
Nina kitu nawaomba mnisaidie mwenzenu!!
Nina pikipiki ambayo haina kazi nataka niifanye ya biashara iniingizie kitu kidogo kwa...
Hii kamuni iko Arusha na inascheme kama ya DESI.Unarusisawa kupanda bila kuzuna.Niliwatembelea siku moja mitaa ya Kijenge kujua kulikoni lakini maelezo ya wahusika hayana msikom wa kisheria...
Me na marafiki zangu kadhaa tumejiorganise ili tuwe tunatoa misaada kila mwisho wa mwezi kwa yatima, wajane , wazee na kundi lolote la watu ambao ni neglected na wana uhitaji wa huduma mbalimbali...
Serikali imeamua kuwafutia kodi wafanyabishara wakubwa wa mchele Ili waingize mchele kutoka pakistani...hatua hii niusariti kwa wakulima wakitanzania kwani Imeharibu soko landani na kuwatengenezea...
Wadau naomba ideas zenu kuhusu printing ,nilikuwa nafikiria kufungua sehemu ya kuprint tshits,plates,vikombe na mengineyo,je ni machine gani nzuri au ambayo itafaa kwa shughuli hizo?je kwa wenye...
Mimi niko morogoro kwa yeyote mwenye kufahamu wadau wenye kufanya michakato ya kupata laini ya uwakala tigo pesa wanitafute kwa namba 0765512663,0719510163.kwa sasa najua wamesitisha kutoa...
habarini . Nahitaji kiasi cha laki nne (400,000) . kwa ajili ya kuongezea kufikia mtaji ambao utaweza kuanzishia biashara ninayohitaji kuifanya hivyo basi ,nina photocopy mashine (canon NP1215)...
Habari wana jamvi wenzangu, leo nimeona nije na jambo la kushare nanyi kwani nimeona wajasilia mali wenzangu wakiongelea biashara na ujuzi wao waliokuwa nao na kushare nanyi, nawapongeza wote kwa...
NAOMBA MSAADA WAKO MWANAJF:
Habari wanaJF wenzangu, kwa kipindi sasa nimepitia nyuzi nyingi na kuzisoma, nimekuwa najifunza fursa nzuri kabisa ya ufugaji wa kuku, ila ningependa kupata elimu juu...
Juzi juzi nimeenda CRDB bank kuomba mkopo, ile ya wafanyakazi, baada ya kusikia wameshusha interest rate toka sijui ngapi hadi 17 or 18 (sikumbuki vizuri). Nilipofika nikapokelewa vizuri na...
Habar wan Jf.
Nimefurahi kufika kwenye jukwaa hili. Nachohitaji ni msaada wa mawazo. Mi nimemaliza Bachelor mwaka jana, but mpaka leo ajira kwangu ni ndoto kuipata. Nimeamua kuwazia biashara...