Helo peoplez!
Poleni na shughuli za kila siku.
Naomba msaada wa majina ya vitabu vizuri vyenye kuhamasisha kuhusiana na ujasiriamali ambavyo naweza kupata online.
Mfano kama: Rich Dad Poor Dad...
Wadau mnao fahamu please, naomba kujua kama umeanzisha blog yako na unaitumia kwa mambo yako, je unaweza kuiendesha kibiashara pia, YAANI richa ya mambo yako je unawezaje kuitumia kujipatia japo...
Wanajf!
natumaini nyote mu wazima mkiendelea vyema kulijenga taifa letu.
nauliza soko la madini ya ruby kwa dar na kama unafahamu bei kwa point na mambo mengineyo, tafadhali naomba nijulishe...
NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI JIJINI ARUSHA.
RAFIKIeLIMU FOUNDATION kwa kushirikiana na Taasisi ya VISION FOR YOUTH ya Jijini Arusha, wanakuletea SEMINA YA...
Habari wana jamvi natumai mu wazima wa afya, Naombeni msaada wenu nategemea kupata pesa kama ml.10.
Je? mnanishauri nifanye biashara gani hapa Dar au around mkoa wa Pwani?
Natanguliza shukrani zenu.
Wakuu nawasalimu sana. Napenda kabla ya yote niappreciate michango yenu hasa katika forum hii, imekuwa ikinisaidia sana. Sasa turudi kwenye uzi huo hapo juu:
Naomba mwenye ushauri juu ya jambo...
Hawa nimiongoni mwa wafanyabiashara wanaokutana na mazingira magumu sana pindi wakiwa kwenye ofisi zao.
Natumaini wengi wetu tumeshakutana au kuona jinsi gani hawa jamaa wanavyofanya hizo...
Heshima kwenu ndugu!! Nina mjomba wangu anastaafu mwaka huu! Na pensheni yake itasoma kama Mil 50,hivyo wadau Naomba mchangunuo wenu Wa biashara gani afanye!!!
Wakuu nina eneo la robo tatu eka Morogoro maeneo ya Nanenane karibu na shule ya sekondary Tubuyu. Ni eneo lililopimwa na documents zake ninazo. Kwa sasa nimelizungushia ukuta lote na kuweka geti...
niko kwenye semina ya ujasiliamali Tumain university Iringa na watu wa ILO asikudanganye mtu hawa jamaa wako fiti kwenye mambo ya enterprenuership nitazd kuwapa yaliyojili
Ndugu katika jamii forum, mimi ni kijana wa kitanzania, nategemea kuhitimu mafunzo ya uhandisi katika fani ya uchenjuaji madini( mineral processing Engineering) mwezi wa sita mwaka huu. kutokana...
Habarini wote muliopata hamasa kusoma nilichoandika.
Mimi niko na biasha fulani ambayo kwa sasa ipo vizur kwa kiasi. ila nataka kuanzisha line nyingine ya biashara ila swala lamtaji...
WADAU NAOMBENI USHARI KWENYE SWALA LA UJASIRIAMALI,NINA MTAJI WA KAMA MILLIONI 7 NAOMBENI USHARI NAWEZA KUFANYA BIASHARA GANI? SINA UZOEFU KABISA KUHUSU BIASHARA.NATAKA KUACHA KAZI NIJIKITE KWENYE...
Waungwana
Ninataka kuanzisha biashara ya kuuza Personal Computers (Windows) mpya, kwenye miji hii:
1. Mbeya
2. Iringa
3. Kigoma
4. Mwanza
5. Tabora
6. Mtwara
Ningependa kujua, kwa wenye kuishi...