Wakuu, kama kuna mtu anaweza kunielekeza mahali nitakakozipata aina hizi za kuku kwenye picha tuwasiliane please. Natamani kuwafuga kuwafuga wakuu kwani wanapendeza sana.
karibuni wadau wote wa mifugo kilimo na biashara.
natoa ushauri wa mambo hayo hapo juu
naweza pia kutibu magonjwa mbalimbali ya mifugo,kilimo. pia ushauri kuhusu lishe na pia michanganuo ya...
Wadau, Nilikuwa na mtaji mdogo nikanunua kiwanja kimoja nikakipiga fance ya wavu baada ya miezi 6 nkakiuza bei mara tatu ya niliyonunulia. Nikanunua viwili nikavipiga fance nishauza kimoja na...
naomba msaada tokwa kwa wajasiliamari wote
ningependa kujua garama za kufunngua/kusajiri company limited by share(garantee), process yote
i will apreciate it very much kwa mchango wowote ntakaopa
Wakuu,
polen kwa majukum
sina uhakika sana ila kuna tetesi kuwa serengeti breweries wana program ya kununua mtama kama mal ghafi ya bia na aina ya mtama unaotumika ni pamoja na;
1. PROSO...
ROSE NA ALNASHIR NI WAZALIWA WA NACHINGWEA NA TABORA, TUME FUNGUA HOTEL (BED & BREAKFAST) ,"THE ROSAL STONE TOWN HOTEL" MAENEYO YA KOKONI, HOUSE NA 1226 STONE TOWN ZANZBAR,NI DAKIKA MOJA KUTOKA...
Leo npo mbeya,nikiwa huku huwa naishi maeneo ya block 't' jiran kabisa na chuo kikuu cha teofilo kisanji(teku).sasa leo kuna semina inaendelea hapa imeandaliwa ma clouds fm na na miongoni mwa...
Habar wapendwa,
Wajasiliamali wa kahama na maeneo jiran nawajulisha nipo kahama na vikoi vya pekee kabisa kahama nzima wamesaluti hakuna duka vilipo.So kama upo kahama ucpitwe vimebaki vichache...
Nina sikitika sana kuwa watanzania wengu tumekuwa sio wakweli na tumedeula matapeli tumetapeli wageni mpaka sasa uaminifu haswa kwa sisi vijana tunaoanza biashara umekuwa ni jambo ambalo hatuna na...
Wanajamvi polen na majukumu ya ujenzi wa Taifa.Mimi ninaomba wajasiliamali tushirikiane kwa sisi wenyewe kuuziana bidhaa zetu mf:mimi ni mtengenezaji wa batiki nahitaji vitambaa vya pamba,rang za...
Wadau heshima mbele,nimeanza kufuga kuku wa kisasa wa nyama!
Napenda ushauri wenu juu wa masoko ya kuku hao hasa kwa wanunuzi wa jumla!ninaanza kuku 1,000 .Naomba uzoefu!PM kwa uharaka zaidi
Habari,Wadau mimi ni mwalimu nina bachelor ya education,nimejichanga nimepata vijisenti kama m.5 na ushehe,nikiangalia changamoto za ualimu napata hasira sana natamani niende nikasome shahada ya...
Kuna maeneo ambayo sijafika lakini i have strong feeling kuwa kuna fursa nyingi za kijasiriamali,hivyo basi naomba kujuzwa juu ya fursa zilizopo ktk maeneo yafuatayo
1.Ifakara
2.Lushoto...
Habarini wanajamvi,
Natamanin sana fajya biashara ya alizeti mkoani singida ila sina details za kutosha mwenye data au uelewa wowote juu ya biashara hii tafadhali
Wakuu habarini zenu,
Napenda sana biashara ya nguo, ipo tu damuni. Nimejarbu enda kutafuta nguo nchi Uganda mara kama tano hivi ila nimeona yale maduka na mimi sio mzoefu sana. Kampala msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.